Latest Products

House for sale at Mbeya city/Nyumba inauzwa Mbeya mjini.

Order Detail
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, imekamilika kwa asilimia 100. Bei yake ni Tshs. 150m, mazungumzo yapo. 

Kwa maswali zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0754060350 
Ethics of good health/Kanuni za afya bora

Order DetailMisingi ya afya bora
 1. Pata usingizi wa kutosha
 2. Kunywa maji mengi japo lita 2 kwa siku.
 3. Kula matunda kwa wingi
 4. Kula mbogamboga hasa spinachi, spinach ni mboga pekee yenye selenium kwa wingi, ambayo ni kinga na tiba katika miili yetu.
 5. Fanya mazoezi
 6. Sikiliza muziki uupendao
 7. Punguza kula na kunywa vyakula na vinywaji vilivyosindikwa.
 8. Tafuta njia mbadala ya kuweza kusafisha tumbo na mwili wako kwa ujumla hasa katika kubalansi body ph, ambayo ni asid, alikaline, na maji mwilini.
 9.  Jikubali
 10. Jipende
 11. Pata tiba mara upatwapo na maradhi iwe tiba mbadala au tiba za hospitali. 
 12. Tumia virutubisho mbalimbali kama vile Mlonge, ili kuweza kuuweka mwili vizuri.
Ishi maisha yako kwa furaha na amani huku ukimtegemea Mwenyezi Mungu. Hakikisha moyo wako una amani muda wote, usiruhusu wasiwasi, hasira, kisirani (kujiwenga) kwani ukiruhusu, ndio mwanzo wa kupata magonjwa ya moyo.

Fanya kinachowezekana, kisichowezekana achana nacho.

Mbeya is growing very fast, invest in mbeya/Mbeya inakua haraka sana. Wekeza mbeya

Order Detail
 Peace of mind hotel
 Beaco hotel
 Desderia hotel
 Utengule hotel
 Mbeya peak hotel
Mbeya hotel
 Mount living stone hotel

Hizi ni baadhi ya hoteli zilizoko jijini Mbeya. Kuna hoteli nyingi nzuri na za kisasa kabisa.

 Moja ya majengo ya kisasa jijini Mbeya (NHIF).
Jengo la custom Tunduma/Nakonde

Ninapenda kuwakaribisha watanzania wote, waishio nje ya Tanzania, mje muwekeze Mbeya Tanzania. Mbeya ya jana si ya leo. Mbeya imekuwa katika nyanja mbalimbali, zikiwemo barabara bora, majengo ya serikali na watu binafsi ya kisasa. 


Karibu uwekeze jijini Mbeya/ Welcome to invest in Mbeya region!!

Kwa mawasiliano, wasiliana nasi kwa simu namba 0754060350


Plot for sale sq 17,000 New forest,Mbeya/Kiwanja kina uzwa sq 17,000 forest ya mpya Mbeya

Order Detail
Kiwanja chenye ukubwa wa sq 17,000 kinauzwa Forest mpya, ni eneo linalofaa kwa matumizi ya shule, hotel, taasisi za serikali. Ni kiwanja kilichopo sehemu nzuri.

Bei 700m, mazungumzo yapo.

Kwa mawasiliano, wasiliana nasi kwa simu namba 0754060350


Do you wish to invest on land fruits and vegitables caltivation/Je unahitaji kuwekeza kwenye ardhi kwa kilimo cha matunda na mboga mboga??

Order Detail


Je unahitaji, matunda na mboga mboga?? Mboga mboga na matunda ni mazuri sana kwa afya zetu, matunda na mboga mboga ni kinga na tiba ya magonjwa mengi. Hasa yakiliwa yakiwa fresh.


Kwa wale wenye maradhi ya kudumu, au ya mara kwa mara ni vizuri wakatumia juisi ya spinich , asali na matunda mengineyo. Juisi ya spinach ina virutubisho vingi bora kwa afya yako hasa Selenium. Selenium inapatikana zaidi kwenye spinach, ni muhimu kwa afya yako hasa kwa wale waishio na VVU.


Kwa wale wanaohitaji matunda fresh na mboga mboga wawasiliane nasi kwa simu namba 0754060350. 

Pia kuna mashamba yanayoweza kulima matunda na mboga mboga aina zote mahala pamoja.

If you wish to invest on fruits and vegetables cultivation, invest in Mbeya region please.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. ZAMA Real Estate & Advertisements - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger